1

Jamii ya waislamu yajitayarisha kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan

Description....

Jamii ya waislamu inajitayarisha kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan unaotazamiwa kuanza rasmi hapo alamisi au Ijumaa. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Publisher:KTN News Kenya

HOT Related!!

 1. Touba ya Ramadhan: Umuhimu wa mwezi wa ramadhani kwa waislamu

  Touba ya Ramadhan: Umuhimu wa mwezi wa ramadhani kwa waislamu

  Waislamu kote ulimwenguni wanajiandaa kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan. Ramadhan ni mwezi wa tisa katika kalenda ya kiislamu, wasomi wanahimiza kwamba katika mwezi huu wa Ramadhan, kufunga sio tu kuacha kula na kunywa, ila muislamu hujizuia kufanya matendo mabaya na matamanio ya nafsi. Mwana...

 2. Rais Magufuli amewatakia Waislamu wote Mfungo mwema wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani

  Rais Magufuli amewatakia Waislamu wote Mfungo mwema wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani

  Rais Magufuli amewatakia Waislamu wote Mfungo mwema wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani pia Rais amewataka wafanyabiashara kutopandisha bei za vyakula hususani vile vinavyotumika zaidi wakati huu wa Ramadhani. Ameongea hayo alipokuwa kwenye hafla ya kufuturisha baadhi ya viongozi wa dini...

 3. Sheikh KISHKI - {1/4} MWEZI WA RAMADHANI

  Sheikh KISHKI - {1/4} MWEZI WA RAMADHANI

  ...

 4. Chief Kadhi sights moon, Holy Month of Ramadhan starts

  Chief Kadhi sights moon, Holy Month of Ramadhan starts

  Muslims in the country are expected to join other faithful worldwide in marking the beginning of the holy month of Ramadhan which is an important pillar of the religion. The holy month of Ramadhan is a 30 day time, of not only missing food and drink during the day, but a month of prayer reflection a...

 5. Vipi Tutaupokea mwezi wa ramadhan 0 1

  Vipi Tutaupokea mwezi wa ramadhan 0 1

  Usiache ku subsribe ili kufikiwa na video zetu kirahisi zaidi....

 6. FULL INTERVIEW: Mtoto gumzo Anthony Petro kaongea tusiyoyajua

  FULL INTERVIEW: Mtoto gumzo Anthony Petro kaongea tusiyoyajua

  MICHANGO YA KUMSAIDIA ANTHONY INAPOKELEWA KWENYE M-PESA 0756 884 884 JINA NI MILLARD AYO. Anthony Petro ni mtoto wa miaka 11, mwanafunzi wa Darasa la kwanza shule ya msingi Ndungusi kata ya Kabanga wilaya ya Ngara Kagera. Ni mtoto gumzo kwenye mitandao ya kijamii Tanzania baada ya video yake kusam...

 7. Waislam kuanza mfungo wa Ramadhani kesho

  Waislam kuanza mfungo wa Ramadhani kesho

  Kufuatia kuandama kwa mwezi kesho Waumini wa Dini ya Kiislam wanaanza kutekeleza ibada ya mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani ikiwa ni moja kati ya nguzo tano za Uislam ambapo watafunga kwa siku ishirini na tisa au thelathini. Ibada hiyo inaanza kutekelezwa kipindi hiki hali ya upatikanaji wa futa...

 8. NURDIN KISHKI...VIGEZO VINAVYOTHIBITISHA KUINGIWA NA MWEZI WA RAMADHANI

  NURDIN KISHKI...VIGEZO VINAVYOTHIBITISHA KUINGIWA NA MWEZI WA RAMADHANI

  AKASHA DAAWAH CHANNEL...

 9. Channels Television - Live

  Channels Television - Live

  For more information log on to http://www.channelstv.com...

 10. Waisilamu ulimwenguni waanza mfungo wa Ramadhan

  Waisilamu ulimwenguni waanza mfungo wa Ramadhan

  Waumini wa dini ya kiislamu kote ulimwenguni wameungana pamoja katika siku ya kwanza ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Hata hivyo suala la kupanda kwa bei ya vyakula limejitokeza mjini Mombasa na katika maeneo mengine nchini. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding a...